Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt as -ABNA- linanukuu: “Hatuendeshwi na Madhehebu ya Dini. Madhehebu ya Dini na wafuasi wao… Ubora wa Dini upo mioyoni mwetu. Wale wanaoamini ndio wanajua ubora wa Dini yao. Hakuna 'overriding' hapa - kwamba Dini yangu itakuwa ndiyo ‘inayooverride’ Tanzania, na tamko nitakalolitoa ndilo lifuatwe. Hapana. Hata wao wenyewe wanatofautiana.” Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam | 2 December / 2025.
2 Desemba 2025 - 22:44
News ID: 1757026

Your Comment